Rais wa Jmahuri ya Muungano ya Tanzania Mh Dk John Pombe
Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016 amakutana na kufanya mazungumzo na mmilili
wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaj Aliko Dangote.
Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemhakikishia mfanyabiashara huyo kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wote nchini katika kuimiza lengo lake lakuwa na Tanzania ya viwanda.
Rais Magufuli amesema kuhusu kiwanda cha Dangote kilichopo Mtwara hapakuwa na tatizo lolote ila kulikuwa na watu ambao walitaka kujinufaisha binafsi kupitia mradi huo kwa kufanya biasharaza ujanja kitu ambacho serikali haikiruhusu.

Ametaka Dangote kununua gesi moja kwamoja kutoka
TPDC ambacho nichombo cha serikali badala ya watu ambaowamekuwa na nia ya
kutengeneza faida tu!
Rais Magufuli akifafanua juambo wakati wa kuagana na mgeni wake Mmiiki wa kiwanda chaSaruji cha Dangote cha MkoaniMtwara, Alhaji Aliko Dangote (mwenye tai ya bluu) |
PICHA ZOTE NA IKULU
0 maoni:
Post a Comment