Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Halmashauri ya Jiji la Arusha Inayoongozwa na CHADEMA Yanunua Magari ya Kufagia BarabaraPichani ni Moja ya nyezo zapilizonunuliwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa jili ya kufanyia usafi wa barabara za Jiji hilo.  Magari hilo jipya na la kisasa ni kwa ajili ya kufanya usafi wa barabara za lami, likiwa na uwezo wa kunyonya uchafu wa aina zote.

Ununuzi wa gari hili umefanywa kwa kutumia vyanzo vya mapato vya ndani vya mapato ya Halmashauri hiyo.

Halmashauri ya Jijila Arusha inaongozwana Meya kutoka CHADEMA tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2015 ambapo kumekuwana kuhitilafiana baina ya Madiwani wa CHADEMA na viongozi wengine wa Serikali hususani Mkurugenzi wa Jiji DC na RC katika kutimiza majukumu anuai ya Maendeleo Jijini hapa. Ni rai yetu hitilafu hizo zimalizikeili kwa pamoja, viongozi hao waweze kusaidia ukuaji wa kiuchumi waJiji na watu wake. 
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO