Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIPOTEMBELEAKIWANDA CHA KUMAUA MAFUTA CHA MERU SINGIDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa mafuta ya kula na Mkurugenzi wa Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2016. Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na watatu kulia na Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Singida, Martha Mlata. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal kuhusu mafuta ya kula yanayozalishwa na kiwanda cha Meru cha Singida mjini wakati alipotembelea kiwanda hicho Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha Meru kilichopo mjini Singida Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Wanne kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal.
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO