Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

M4C ya CHADEMA ndani ya USA

Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maen...
Soma Zaidi

Bonanza la Wazee Arusha lafana!

Jumapili hii kulikuwa na bonanza la mchezo wa mpira wa miguu hapa Arusha ambapo timu ya Arusha Wazee Sports Club iliialika timu ya Bunge la...
Soma Zaidi

Julius Mtatiro azungumzia vurugu za Zanzibar, apinga uchomaji makanisa na matumizi ya nguvu kuzuia uhuru wa kutoa maoni

Naibu Katibu Mkuu Bara (CUF), Ndg Julius Mtatiro HILI LA ZANZIBAR HALIUNGWI MKONO “LABDA NA MWENDA WAZIMU TU” Habari za uchomaji wa makani...
Soma Zaidi

CHADEMA Waiteka Mtwara

Aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema akihutubia maelfu ya wananchi wa Mtwara katika Viwanja vya Mashujaa jana. CHADEMA wako mi...
Soma Zaidi

Daladala lapinduka Arusha

  Gari linalofanya safari za kubebe abiria Jijini Arusha maarufu kama “Vifodi” lenye namba za usajili T481 AFS aina ya Toyota Hiece likiwa ...
Soma Zaidi

Sabodo Atoa Billioni 5/- Kujenga Jengo la Kuegesha Magari Dar es Salaam

Mustafa Sabodo(kulia) katika makabidhiano na Meya wa Ilala, Mh Jerry Slaa (katikati) Na Deo Mwaibale MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mustafa...
Soma Zaidi

Mh Selasini anahitaji maombi yako, hali yake na majeruhi wengine bado sio nzuri

Hii ndio picha halisi ya gari ya Mh Selasini baada ya ajali iliyopelekea vifo vya watu watatu hapo hapo, akiwemo mama yake mzazi, iliyotoke...
Soma Zaidi

Udhibiti wa Matumizi ya Dola Waanza

Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu (BoT) imeanza kufanya utafiti ili kudhibiti watu, makampuni na taasisi zinazopenda kufanya bi...
Soma Zaidi

CHADEMA na Polisi wavutana Mkutano wa Jangwani kesho Mei 26

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KURUGENZI ya Ulinzi na Usalama ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inapenda kutoa taarifa kuwa ...
Soma Zaidi

Halmashauri ya Jiji la Arusha katika mikakati kuboresha utalii

Matayarisho ya kuweka tabaka la C1, kabla ya kuwekwa lami katika barabara za Arusha (Picha na Gazeti la HabariLeo) ******** JIJI la Arus...
Soma Zaidi

TASWIRA 3 JINSI WANANCHI WA MALI WALIVYOVAMIA IKULU NA KUMPIGA RAIS WAO

    Baada ya kumdunda Rais wao, wananchi wakaamua kuketi Ikulu kama wanavoonekana pichani Picha na Reutars kwa hisani ya Millard Ayo...
Soma Zaidi

AJALI MBAYA JIONI HII: MBUNGE WA ROMBO ANUSURIKA KIFO, WATATU WAFARIKI PAPO HAPO AKIWEMO MAMA YAKE

Tumepokea taarifa ya ajali mbaya ya barabarani jioni hii ikieleza kuwa Mbunge wa Rombo (CHADEMA), Mh Joseph Selasini (pichani) pamoja na wa...
Soma Zaidi

John Mnyika Ashinda Kesi Ya Kupinga Ubunge Wake

Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake katika Jimbo la Ubungo katika uchaguzi wa mwaka 2010, hukumu...
Soma Zaidi

KASEJA NAHODHA MPYA TAIFA STARS

BENCHI la ufundi la timu ya Taifa 'Taifa Stars'  limemteua Juma Kaseja kuwa nahodha wa timu hiyo. Kaseja ambaye ni kipa wa timu bin...
Soma Zaidi

Wassira azomewa mkutanoni

JINAMIZI la zomeazomea limezidi kumwandama mbunge wa jimbo la Bunda, Steven Wassira, ambapo jana tena alizomewa na wananchi baada ya kushin...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO