Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA wamtaka Mbunge Leticia Nyerere kuwapatia taarifa sahihi kuhisiana na tuhuma zinazomkabili

Chama cha Demokrasiana Maendeleo kimemwandikia kumtaka Mbunge wa Viti Maalumu Mwanza kupitia chama hicho, Mh Leticia Nyerere awapatie taarifa sahihi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Mbunge huyo.

Akitoa taarifa hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri na Bunge wa chama hicho, Ndg John Mrema amekanusha uvumi ulioenea kwenye vyombo vya habari amekamatwa nchini Marekani.

Mh Leticia, pamoja na mambo mengine anatuhumiwa kujipatia visa kwa njia za udanganyifu.

Chanzo: Taarifa ya Habari Redio Free Africa.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO