Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA ZA ZIARA YA UJENZI WA CHAMA (CHADEMA) WILAYA YA SAME

CHAMA cha Demokarasia na Maendeleo (CHADEMA) kilifanya ziara ya kichama kwa siku nne mfululizo kujiimarisha katika Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, ziara ambayo iliongozwa na Mh John Heche ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la chama hicho.

Ziara hiyo ilianzia Same Mjini siku ya Mei 11 na kumalizika juzi Jumatatu mei 14, 2012. Katika mkutano wa kwanza Mh Heche aliongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa UVCC Arusha, James Ole Millya, na aliekuwa mjumbe wa NEC CCM Arusha Ngd Ally Bananga.

Wengine walikuwa ni aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema, pamoja na makada wengine wa chama hicho kutoka Arusha akiwemo mwanasheria James Lyatuu, ambao walijitolea magari yao kufanya shughuli hiyo.

Kwa mujibu wa Bw Heche, ziara hiyo imekuwa na mafanikio makubwa sana kwa kuzingatia mwamko wa wananchi na wingi wa watu waliojitokeza kukiunga mkono ikiwa ni pamoja na kurudhisha kadi za CCM na kupatiwa kadi za CHADEMA na wengine hawakuwahi kuwa wananchama lakini wakajiunga nacho, hata ambayo Heche anaeleza kuwa inawapa matumaini ya kushika dola hapo baadae.

Lema na Millya - SameMh Lema (kushoto) akiteta jambo na Ngd James Ole Millya katika mkutano wa kwanza Same Mjini

Katibu Mkuu wa TLP Same, Heriel Msolo(kulia) akirudisha kadi jana 

Aliekuwa Katibu wa TLP Same, Ndg Heriel Msolo akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na kurudisha ya TLP. Kutoka kushoto, Mh Lema, Hohn Heche, Mwenyekiti wa CHADEMA Kilimanjaro Ndg Augustino Mkelele na Heriel Msolo

Vijana wakigombea ofa ya kadi 10 za Millya

Vijana wa Same wakigombania ofa ya kadi 10 kutoka kwa James Ole Millya alizoahidi kuwalipia. Katika mkutano huo, zaidi ya kadi 350 za chama ziliuzwa kwa wananchi

DSCN0791Lema nae alitoa ofa ya kuwalipia kimamama 10 kadi za chama, na hapa anawagawia. Hata hivyo walijitokeza kinamama wengi zaidi na kulazimu wengine kujilipia.

DSCN0780 Ally Bananga (mwenye jezi nyekundu) akijadiliana jambo na James ole Millya na kada mwingine wa CHADEMA meza kuu katika mkutano wa Same Mjini.

Same - urudishaji kadi Kata ya Bombo John Heche akiwa amekamata baadhi ya kadi za CCM zilizorudishwa kwenye moja ya mikutano katika maeneo ya Wilaya ya Same

Same ziaraMapokezi ya msafara wa viongozi wa CHADEMA huko vijijini yalikuwa na shangwe namna hii

Same 7 1  Mapokezi…

Same9Picha hii na ya chini, John Heche akihutubia moja ya mikutano Wilayani Same, maeneo tofauti. Alikuwa akifanya takribani mikutano mitatu kwa siku

Peoples power ya Same

Same- vua gambaHeche akipokea bidhaa za CCM zilizorudhiswa na aliekuwa mwanachama wa CCM na kumkabidhi kadi ya chadema. Picha zinazofuata ni muendelezo wa matukio ya urudishaji kadi katika miktano na maeneo tofauti.

Same - urudishai kadi

Same urudishaji kadi

Same urudishaji kadi 3

Same urudishaji kadi 2

Same .kurudisha kadi

Same 6

Diwani CCM Kta ya Vuje          Diwani wa CCM Kata ya Vuje akitambulishwa na John Heche mkutanoni

Same - uzinduzi matawi 3 John Heche (Mwenyekiti BAVICHA) akifanya uzinduzi wa Tawi la Sinangoa, Wilayani Same Mei 13 ,2012

Same - uzinduzi matawi 9 Kamanda wa Vijana CHADEMA Babati, Ndg Makatta na Kamanda wa Vijana CHADEMA Taifa, Ndg John Heche wakipandihs abendera kuashiria uzinduzi wa Tawi la chama hicho

Same - uzinduzi matawi

Same - uzinduzi wa matawi 2

Same - uzinduzi wa matawi

Same - uzinduzi matwi 4

Same -Uzinduzi wa Matawi

Same ziara 1      Ziara hiyo ilikuwa na kila aina ya burudani..

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO