Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wakuu wapya wa Wilaya Mkoani Arusha wapishwa

ar

Mkuu wa Wilaya ya Arusha John Mongela akiwa anaapa kiapo cha utiifu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo jana

ar1

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru  Nyirembe Munasa akiapa kuwa mwaminifu

ar3

Wakuu wa Wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa  wa Arusha, Mh Magesa Mulongo (Picha zote na  Gladness Mushi wa FULL SHANGWE Arusha)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO