Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Nassari ajisalimisha tena, ahojiwa kwa zaidi ya saa 4

Baada ya kuripoti kwa mara ya kwanza Kituo Kikuu cha Polisi Arusha mchana wa leo na kukuta viongozi wako kikaoni na kuondoka, taarifa zinaeleza kuwa Mbunge Nassari amesharipoti tena kituoni hapo na kuhojiwa kwa zaidi ya masaa manne (luanzia saa 8 mchana hadi saa 1 kasoro jioni) na kisha kuruhusiwa kuondoka na kutakiwa kuripoti tena kesho Mei 9.

Nassari alifika kituoni hapo akiwa na Wakili wake, Arbert Msando.

nassariWakili Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana Kituo Kikuu cha Jeshi la Polisi mkoani Arusha akiwa na  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharib,i Joshua Nassari(CHADEMA) mara baada ya kujisalimisha kituoni hapo.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO