Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa CHADEMA NMC muda huu…….

DSCN0406 Hii ni sehemu ya Jukwaa maalumu kwa jili ya wananchama wa CCM waliohamia CHADEMA. Kwasasa wanhutubia madiwani, muda mfupi ujao viongozi wa kitaifa watafika viwanjani hapa..

DSCN0373Kamanda Mbowe akiingia viwanjani hapo. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche

DSCN0393Baadhi ya wananchama wa CCM wakicheza nyimbo za CHADEMA kabla ya hotuba kuanza

DSCN0365Baadhi ya mabango yanasomeka hivi…

DSCN0367

DSCN0361

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Unknown said...

Nikisema mapinduzi,awareness na spirit ya kuondokana na ujinga,maradhi na umaskini inaanzia arusha watu wanasema me mkabila..

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO