Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Simba yaiadhiri Yanga, yaibanjua goli 5 kwa bila

2Mashabiki wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao wa goli tano kwa bila dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga katika mchezo wa kumalizia Ligi Kuu ya Vodacom katika uwanja wa Taifa jana. Klabu hiyo ya Simba ndie Bingwa wa mashindano hayo kwa mwaka huu.

(picha kwa hisani ya Mjengwa Blog)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO