Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mbowe, Mnyika watembelea Clouds Media Group

2

Mh.Freeman Mbowe akiwa ofisini kwa Bw.Joseph Kusaga wakizungumza machache mara baada ya kuwasili mapema leo mchana ndani ya mjengo wa kampuni hiyo,Mikocheni jijini Dar

mbowe clouds

Pichani kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Clouuds Media Group,Bw.Joseph Kusaga akiwa na sehemu ya uongozi wa juu wa kampuni hiyo,wakifanya mazungumzo mafupi na Uongozi wa chama cha CHADEMA,ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw.Freeman Mbowe ambaye aliongozana na Mbunge wa jimbo la Ubungo,Mh John Mnyika pamoja na Ofisa Habari wa chama hicho,Bw.Tumaini Makene,na kufanya ziara fupi ya kuitembelea kampuni hiyo na kujionea mambo mbalimbali yanayofanywa na kampuni hiyo,mapema  leo asubuhi,Mikocheni jijini Dar

PICHA ZAIDI KONG’OLI HAPA

Chanzo: Fadher Kidevu Blog, kwa hisani ya Michuzi Jr

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO