Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Diwani wa CCM alietishia kumuua Mbunge Msigwa apewa dhamana

diwan Diwani wa Kata ya Nduli-Iringa ndugu Idd Chonanga ametolewa rumande leo kwa  dhaman baada ya jana wadhamini kushindwa kutimiza masharti ya dhamana, diwani huyo anayeshtakiwa kwa kosa la kuwatishia kuwaua kwa maneno  Mbunge wa Iringa Mch.Peter Msigwa(Chadema), na diwani wa kata ya mivinjeni(Chadema) Ndg Fredrick Nyalusi,
Wadhamini wawili mapema leo mahakamani wametimiza masharti ya dhamana ikiwa Pamoja na kuwasilisha vielelezo vyote vinavyotakiwa pamoja na mali isiyohamishika yenye thamani ya Milion 5.

Source: Mjengwa Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO