Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KASEJA NAHODHA MPYA TAIFA STARS

JUMA_KASEJA[1] BENCHI la ufundi la timu ya Taifa 'Taifa Stars'  limemteua Juma Kaseja kuwa nahodha wa timu hiyo.

Kaseja ambaye ni kipa wa timu bingwa ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba,  atarithi mikoba ya aliyekuwa nahodha wa Stars Shadrack Nsajigwa 'Fuso' ambaye amestaafu kuichezea timu hiyo na kuamua kubaki kuichezea timu yake ya Yanga

Chanzo: Dina Ismail

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO