Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Daladala lapinduka Arusha

ajali Kijenge (1)

ajali Kijenge (2)  Gari linalofanya safari za kubebe abiria Jijini Arusha maarufu kama “Vifodi” lenye namba za usajili T481 AFS aina ya Toyota Hiece likiwa limeangua kando ya barabara ya Old Moshi jirani kabisa na mzunguko wa Kijenge/Impala, huku sehemu ya gari hilo ikiwa barabarani. Ajali hiyo inahisiwa kutokea mapema leo alfajiri. Chanzo cha ajali na hali ya dereva na kama kulikuwa na abiria haviajweza kufahamika mara moja. Blog yako inaendelea kufuatiliazaidi.

DSCN3198Katika barabara hiyohioyo, eneo jirani na East Afrca Hotel, mwendesha pikipiki alinusurika kifo baada ya kugogwa na gari ndogo inayoonekana pichani iliyokuwa inaingia barabara kuu. Hakukuwa na majeruhi ya kutisha (Picha zote na Tumainiel Seria)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO