Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mawaziri waliotoswa na Kikwete wakacha sherehe za kuapishwa mawaziri wapya Ikulu jana

PamojaRais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi, wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wateule baada ya kuapishwa rasmi leo Ikulu Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

MAWAZIRI wapya na manaibu wao, jana waliapishwa na Rais Jakaya Kikwete, huku wale waliong’olewa katika baraza hilo wakisusia sherehe hizo, isipokuwa William Ngeleje, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini.

Ngeleja aliyeonekana mwenye furaha, alisema hana kinyongo na mtu baada ya kuondolewa katika uwaziri, akitamba kuwa miaka mitano aliyokaa si mchezo na hivyo atakuwa mwepesi kutoa ushauri kwa waziri mpya aliyeingia.

Waliong’oka na kushindwa kufika Ikulu jana ni Ezekiel Maige (Maliasili na Utalii), Mustafa Mkulo (Fedha), Omar Nundu na naibu wake Athuman Mfutakamba (Uchukuzi), Dk. Cyril Chami (Viwanda na Biashara), Dk. Haji Mponda na Dk. Lucy Nkya (Afya).

Read more….

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO