Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

NGORONGORO HEROES YASONGA MBELE LICHA YA KUFUNGWA NA SUDAN 2-1 USIKU HUU

ngorongoroheroes Timu ya taifa ya U20 Ngorongoro Heroers imefanikiwa kuitoa nje ya mashindano timu ya  Sudan mjini Kahartoum usiku huu baada ya kufungwa magoli 2-1 na wasudan hao,  ikisonga mbele kwa goli la ugenini, kwa matokeo hayo ina maana timu ya Ngorongoro Heroers imesonga mbele kwa magoli 4-3 dhidi ya timu ya Sudan.

Goli la timu ya Ngorongoro Heroers limefungwa na mshambuliaji wa timu ya TP Mazembe Thomas Ulimwengu katika dakika ya 12 ya mchezo, wakati magoli ya timu ya Sudan yakifungwa na Mohd Abdelrahman dakika ya 10 na goli la pili likifungwa kwa penati na mchezaji Ahmed Nasr dakika ya 65 ya mchezo.

Chanzo: FULL SHANGWE

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO