Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Simba yatolewa na Al-Shandy usiku huu

Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Simba ya Jijini Dar es Salaam imeondoshwa kwenye michuano hiyo muda mfupi uliopita na kalabu ya Al-Shandy ya Sudan baada ya kubugizwa mikwaju ya penalt 9 –8.

Hatua ya kupigiana penalti ilikuja baada ya Al-Shandy kuifnga Simba goli 3 – 0 katika dakika 90 za kawaida. Penalti ya mwisho kwa Simba ilipigwa na Juma Kaseja na kuokolewa na kipa wa Al-Shandy.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO