Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

AICC YATOA MSAADA WA MAGODORO 30 YENYE THAMANI YA TSH.3.7 MILIONI KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU ILI KUWAHUDUMIA VEMA MAJERUHI WA BOMU KANISANI

Afisa  Itifaki Mwandamizi wa Arusha International Conference Center(AICC)Catherine Kilinda(katikati)akimkabidhi moja ya magodoro 30, Mganga Mkuu  Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Arusha,Josiah Mlay leo ikiwa ni sehemu ya kusaidia huduma bora za matibabu kwa walioathirika na mabomu

Afisa  Itifaki Mwandamizi wa Arusha International Conference Center(AICC)Catherine Kilinda(wa pili kulia)akipongezwa na muuguzi Mkuu wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mwamini Nyakwela baada ya kukabidhi  moja ya magodoro 30,kwa Mganga Mkuu  Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Arusha,Josiah Mlay leo ikiwa ni sehemu ya kusaidia huduma bora za matibabu kwa walioathirika na mabomu,kulia ni Matron wa hospitali hiyo,Getrude Andarson

Afisa  Itifaki Mwandamizi wa Arusha International Conference Center(AICC)Catherine Kilinda akimsikiliza Mganga Mkuu  Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Arusha,Josiah Mlay leo baada kukabidhi msaada wa magodoro ikiwa ni sehemu ya kusaidia huduma bora za matibabu kwa walioathirika na mabomu

PICHA NA MAELEZO: FILBERT RWEYEMAMU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO