Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAKAMU WA RAIS TANZANIA, ASKOFU MKUU WA KKKT WAWAFARIJI MAJERUHI WA MLIPUKO ULIOTOKEA KANISANI ARUSHA

Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha. Picha :Mahmoud Ahmad- Arusha

Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)Dkt Alex Malasusa akiwafariji wananchi baada ya kupewa nafasi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa katika hospital ya Mount meru baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhani kuwa ni bomu.

PICHA NA FATHER KIDEVU (MROKIM.COM)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO