Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

News Updates: Mvua Yakata Mawasiliano Kati ya Simajiro na Arusha, Barabara Yakatika eneo la Korongo Tatu

Taarifa za asubuhi hii kutoka eneo la Korongo Tatu, Simajiro-Manyara zinaeleza kuwa hakuna mawasiliano ya barabara kati ya Arusha na Wilaya ya Simanjiro baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku kusomba daraja lililopo eneo la Korongo Tatu na kuigawa barabara.

Mamia ya wasafiri wamekwama eneo hilo tangu usiku wa kuamkia leo na zoezi linaloendelea sasa ni kujaribu kutengeneza eneo la magari kuvuka na wakati huo huo kujaribu “kufaulisha” abiria kwenye magari mengine ili wasiendelee kuteseka eneo hilo hasa watoto baada ya kukosa chakula.

Daraja hilo linadaiwa kujengwa takribani mwaka mmoja tu uliopita

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO