Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Lema, Millya na Nassari wakichangia, kuongoza na kuhamasisha wananchi wa Arusha kuchangia damu kwa ajili ya majeruhi wa mlipuko janaJames Ole Millya mapumzikoni baada ya kuchangia damu


Mbunge wa Arumeru Masharikibaada ya kuchangia damu

Deriki Magoma akichangia dam, Mwenyekiti mstaafu wa vijana Chadema Arusha Mjini


Lema akibadilishana mawazo na mwananchi
Glory Kaaya, Katibu wa Vijana CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini

Picha zote na Imma Saro
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO