Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

AY ASHINDA TUZO YA CHANEL’O KATEGORI YA ‘MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR’ 2012

Ambwene Yesaya (AY) msanii wa hapa nyumbani Tanzania amejinyakulia tuzo ya Channel O Music Video Award kwa  2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyompatia tuzoni ile ya wimbo I DON'T WANT TO BE ALONE, wimbo ambo aliwashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya, Sauti Sol. AY anaelezwa kuwa msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kunyakua tuzo za mwaka huu.Kutoka kushoto, C-P, AY, Jkate Mwegelo na MwanaFA walipowasili Afrika ya Kusini. Picha na Bongo5.Com

Washindi wengine ni
Most Gifted Video of the Year: D’Banj – Oliver Twist
Most Gifted Female Video – Zahara – Loliwe
Most Gifted Male Video – D’Banj
Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Duo, Group or Featuring Video – P Square ft. Akon and May D – Chop My Money
Most Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
Most Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
Most Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi
Most Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
Most Gifted African South Video: Cashtime Fam – Shut It Down (Stundee).
Most Gifted African West Video: D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
Most Gifted African East Video – Ay ft Saut Sol – I Don’t Want to be Alone
Most Gifted Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO