Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) yapewa tuzo na PPF kama mshindi wa kwanza sekta ya madini nchini

Kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) kupitia mgodi wake wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imepewa tuzo ya mwaka 2012 na mfuko wa pensheni wa PPF baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye sekta ya madini kwa ulipaji mzuri wa michango ya wafanyakazi kwa muda. Kwenye picha ni Meneja Rasilimali Watu na Utawala wa ABG, Saimon Sanga, akiwa ameshika kikombe na cheti ambavyo ABG ilikabidhiwa na PPF hivi karibuni. Picha na Blog ya Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO