
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mlipakodi bora wa kwanza katika sekta ya uzalishaji viwandani, Mkurugenzi Mawasiliano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steven Kilindo kwenye hafla ya sita ya Siku ya Mlipa Kodi, Dar es Salaam

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dk Bilali na viongozi wengine

Steve Kilindo akiondoka jukwaa kuu akiwa na tuzo za kampuni yake

Steve Kilindo akiwa pamoja na wadau wenzie

SOURCE: KAMANDA WA MATUKIO, RICHARD MWAIKENDA
0 maoni:
Post a Comment