Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taifa Stars yainyuka Haranbee Stars 1-0

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samata akijaribu kumtoka Beki wa Harambee Stars wakati wa mechi ya kirafiki baina ya timu hizo iliyochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana, ambapo Taifa Stars iliibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Harambee Stars ya Kenya. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro. Picha na Father Kidevu
KWA MATUKIO ZAIDI TEMBELEA MTANDAO WA G SENGO WA JIJINI MWANZA
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO