Pichani Juu Rangi Chini Waumini wa dhehebu la Shia wakiwasili Rangi kukusanyika katika eneo la makaburi ya Kisutu jijini Washia Dar es Salaam wakijiandaa kuanza maandamano ya kuadhimisha siku ya Ashura kukumbuka kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein yaliyofanyika Jana.
Mwenyekiti wa Msikiti wa Jumuiya ya Shia Ithna Asheri Bw. Azim Dewji akifafanua to waandishi wa habari amesema katika kuadhimisha siku hii Waislam wa dhehebu la Shia watafanya matembezi Kutoka makaburi ya Kisutu Shia Hadi katika msikiti MKUU wa Shia Ithna Asheri Rangi wakati wa matembezi hayo Ndani yake kutakuwa kunafanyika kumbukumbu to Njia ya kuimba nyimbo za maombolezo tukikumbuka shujaa wetu namna alivyouwawa Rangi mbovu mbovu sisi kujipa UHAI kiroho katika kuonyesha namna Kiongozi anaweza kujitolea to watu wake Rangi kwamba nai funzo to kila mwanadamu ajitolee to ajili ya wenzake.
Imamu wa Msikiti wa Imam Ali wa Magomeni Mapipa Msabaha Shaaban Ali Mapinga akizungumza Rangi waandishi wa habari amesema siku hii nai siku ya kukumbuka Rangi kuadhimisha miaka 1473 ambapo katika nchi ya Iraq kwenye Mji wa Karbala aliuwawa mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) aliyekuwa akijulikana to ujaini la Imamu Hussein Bin Ali Bin Abutwalib.
Amesema katika nyakati hizo alitokea mtawala dhalim aliyekuwa akitetea dhulma Rangi kukiuka Haki za binadamu kitendo ambacho mjukuu wa Mtume Imam Hussein hakukubaliana Nacho Rangi kuunda jeshi ziwa dogo kutetea Haki Rangi kupinga Batili.
Kwakuwa Imamu Hussein alikuwa Rangi dhamana ya kutetea Haki alikataa kuwa Chini ya mtawala Huo ndipo alipotumiwa jeshi la watu kama 30,000 naye akiwa Rangi jeshi la watu 72 walipambana katika Mji Huo Rangi mjukuu wa Mtume aliuwawa kifo cha kikatili cha kutenganishwa Kichwa Rangi kiwiliwili.
Kwa Upande wake Sheikh MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum amesema siku hii muhimu sana nai to Waislam KOTE duniani to sababu tunamkumbuka Imamu Hussein ambaye kifo chake kilikuwa cha kinyama nai kifo, kifo cha wapenda dhulma katika uso wa Ardhi.
Amesema kifo cha Imam Hussein kinamgusa kila Muislam to sababu ilikuwa nai siku ambayo Haki ilizimwa Rangi dhuluma, maadui wa Haki walijaribu kuitaka batil isimame, to hiyo siku ya leo nai SKU ya kutetea Haki Rangi uadilifu.
Aidha Sheikh Salum amesema to Waislam Wote Tanzania Rangi hata wasio Waislam wanatakiwa wajifunze Kutoka to Imamu Hussein kwamba yeye alikuwa mtetezi wa Haki nai, alikuwa anatetea Uadilifu to hiyo tujifunze kwamba kutetea Haki Rangi kutetea uadilifu Ndio Jambo linalotakiwa katika Maisha ya leo, kutetea wanyonge, kupiga vita Dhuluma Rangi ukandamizaji wa namna yoyote Ile Ndio lililokuwa Jambo alilolipenda Imamu Hussein.
Waumini Hao wakiwa wamejipanga tayari kuanza maadamano Kutoka makaburi ya Kisutu Hadi katika msikiti MKUU wa Shia.
Pichani Juu Rangi Chini msafara wa Waumini wa Shia umeanza.
Hisia Rangi Majonzi vilionekana.
Ni Jambo jema Watoto kujua Dini mapema, Kama inavyoonekana pichani Mtoto akiwa ameambatana Rangi mzazi wake katika maandamano ya siku ya Ashura.
Bango lenye Ujumbe maalum wa siku ya Ashura.
Published by: Bashir Nkoromo leo Jumapili 25 Novemba 2012
0 maoni:
Post a Comment