Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mkutano wa Chadema leo Novemba 25, 2012 Jijini Arusha

cdm kilombero2Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Ndg Amani Golugwa nae alipata wasaa wa kuhutubia

cdm kilombero9ALiyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema (CHADEMA) ambae rufaa yake ya kupinga kuvuliwa ubunge inatarajiwa kusikilizwa Disemba 4, 2012 Mahakama Kuu Dar es Salaam, akihutubia wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Kilombero mjini hapa. Mkutano huu unafanyika zikiwa imepita siku moja tu tangu CCM wafanye mkutano wao katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mkutnao ambao uliongozwa na Katibu Mkuu mpya wa cham hicho Bw Abdulrahman Kinana.

cdm kilombero7

cdm kilombero8

Mwenyekiti wa Vijana Chadema Arusha Mjini, Noel Olevaroya (mwenye suti) pamoja na kamanda machachari wa chama hicho mjini hapa Ndg Hassan Noor (mwenye kombati) wakifuatilia mkutano

cdm kilomberoSehemu ya wananchi waliohodhuria mkutano huo ambao haukufahamaika kwa watu wengi kufanyika kwake.

cdm kilombero1Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba akihutubia

cdm kilombero3Aliewahi kuwa Diwani wa CCM Kata ya Sombetini, na baadae kujitoa na kujiunga na Chadema mapema mwezi April mwaka huu, Ndg Alphonce Mawazo akizungumza na wananchi hao

cdm kilombero4Kiongozi wa Madiwani wa Chadema Arusha
cdm kilombero6

Picha zote na Noel Olevaroya!

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO