Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Halima Mdee na wenzake katika mazoezi ya mpira wa pete Jijini Arusha

IMG-20121123-WA0009

IMG-20121123-WA0011

IMG-20121123-WA0007

IMG-20121123-WA0001

IMG-20121123-WA0003

Tukio hili ni la takribani majuma mawili yaliyopita ambapo baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walikuwa wanafanya mazoezi ya mchezo wa ‘netball’ kjuiandaa na mpambano baina yao na wenzao wa Bunge la Afrika Mashariki, mazoezi ambayo yalikuwa yanafanyikia katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO