Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Harakati za CHADEMA Karagwe Mkoani Kagera

http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=72305&d=1353757348

Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.

http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=72306&d=1353757476

Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.

http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=72307&d=1353757522

Wanachama na wapenzi wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa

Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania

Picha zote kwa msaada wa mtandao wa Jamii Forum

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO