Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mwakyembe awatunuku Vyeti Wahitimu wa kozi mbalimbali kutoka Chuo Cha Usafirirshaji (NIT)

Waziri wa Uchukuzi,Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia wahitimu pamoja na Wageni waalikwa katika mahafali ya 28 ya Chuo cha Usafirishaji(NIT), Mahafali hayo yamefanyika katika Viwanja vya Chuo hicho jana Mchana, ambapo wahitimu wa Kozi mbalimbali walitunukiwa Stashahada za Kawada, Stashahada za Juu na Shahada.

Waziri wa Uchukuzi.Dk. Harrison Mwakyembe(Aliyevaa kofia Nyekundu),akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa kozi mbalimbali kutoka katika Chuo Cha Usafirirshaji(NIT),jijini Dar es Salaam.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO