Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SHEREHE YA UZINDUZI WA JENGO LA AFRIKA MASHARI JIJINI ARUSHA

Muonekano wa jengo jipya la mikutano ya Afrika Mashariki yenye makao yake makuu jijini Arusha lililopo mkabala na jengo la AICC

 

Kikundi cha ngoma kutoka Uganda kinachofahamika kwa jina la Mizizi Ensemble wakitumbuiza leo katika uzinduzi wa jengo la Afrika Mashariki. Picha zote na Pamella Mollel wa JAMII BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO