Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Focus Zanzibar,mdau wa blog hii alipoukacha ukapela

focus wedding2Mdau mkubwa wa Blog hii, kijana Focus Zanzibar na mkewe Susan Mkala wakifurahia siku ya harusi yao katika ukumbi wa Twalipo, Mgulani JKT. Harusi ilifanyika siku ya tarehe 17 Novemba 2012 katika Kanisa la St Joseph, Dar es Salaam na baadae kufuatiwa na tafrija iliyofanyika katika ukumbi huo wa JKT Mgulani. Bwana harusi anajishughulisha na biashara pamoja na kuwa na mikataba ya kikazi na makampuni tofauti ya utafutaji gesi nchini, wakati bibi harusi ni afisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

focus wedding3Hapa wakifungulia waalikwa disco la taratibu

focus weddingMaharusi na wapambe wao

focus wedding1

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO