Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KILIMANJARO STARS YAFUNGWA NA BURUNDI MICHUANO YA TUSKER CHALLENGE CUP UGANDA

Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, Simon Msuva akimiliki mpira wakati wa mchezo dhidi ya Burundi kwenye michuano ya Tusker Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela jan ambapo Stars ilifungwa bao moja kwa bila.

Kiungo mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira wakati wa mchezo dhidi ya Burundi kwenye michuano ya Tusker Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda

Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, John Bocco akichuana na Beki wa Burundi, Glberty Kaze wakati wa mchezo dhidi ya Burundi kwenye michuano ya Tusker Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda jana.

PICHA ZOTE NA MTANDAO WA FATHER KIDEVU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO