Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

JK AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA CCM DODOMA, MANGULA KUWA MAKAMU MWENYEKITI

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano mkuu wa nane wa CCM, leo.Wake wa viongozi

Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini

Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo
Hapo awali, Chama Cha Mapinduzi kilimteua Katibu Mkuu wake mstaafu, Philip Mangula kugombea nafasi ya Makamu Mwemnyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanzania Bara huku kwa Zanzibar akiteuliwa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

       Uteulzi wa wagombea hao umefanywa na Kikao Cha CC na Kuthinishwa na NEC usiku wa kuamkia leo. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema leo mjini Dodoma.
Mangula na Dk. Sheni watapigiwa kura na wajumbe wa Mkutano Mkuu, kwenye Ukumbi wa Kizota nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Picha&Maelezo: Bashir NkoromoWashirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO