Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Godbless Lema aalika marafiki na kufurahi pamoja nyumbani kwake

DSC07686Mh Godbless Lema akifafanua jambo katika kuchangamsha waalikwa kwatika hafla aliyoindaa kwa marafiki zake, tafrija iliyofanyika nyumbani kwake Jijini Arusha jana.

DSC07670Mshereheshaji wa shughuli hiyo, Zion William akinogesha tukio zima kwa vichombezo vya hapa na pale

DSC07635Sehemu ya waaalikwa katika hafla hiyo

DSC07626

DSC07639

DSC07726Baadhi ya waalikwa walipata wasaa wa kusema neno le hekima kwa wenzao. Hapa ni Chris Mbajo akitoa maneno ya busara

DSC07652Bosi wa blog hii nae alikuwa miongoni mwa waalikwa, hapa ni ratiba ya nyam choma na vinywaji laini

DSC07648

DSC07692Binti wa Mh Lema, Brilliant alikuwa kivutio kwa waalikwa

DSC07642Ufuatiliaji idara ya maakuli kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa kama kilivyopangwa

DSC07633

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO