Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WALIOKUWA MADIWANI WA CHADEMA ARUSHA NA KUVULIWA UANACHAMA WAKIMBILIA CCM; KULIPIWA GHARAMA ZA KUSHINDWA KESI

Mhe. Mathias akitoa tamko ya kumlipia Diwani wa CHADEMA  kwa jina la Rehema, aliekuwa akidaiwa na mahakama kwa kushindwa kesi iliyokuwa inawakabili ,alitoa ahadi hiyo jana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha

Huyu ndie Diwani Rehema alieahidiwa kulipiwa deni alilokuwa akidaiwa na mahakama kwa kushindwa kesi iliyokuwa inawakabili ,Mhe. Mathias alitoa ahadi hiyo jana kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha.

Huyu ni Diwani mwingine alieamua kukihama chama cha CHADEMA na kuhamia CCM katika  uwanja wa sheikh Amri Abeid Jijini ,Arusha jana. Picha zote na maelezo: WAZALENDO 25 BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO