Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU)
Wasanii wa Ngoma,kwaya na Sarakasi wanahitajika
Wasanii wa Tanzania mnaoishi Ujerumani mnaombwa kutokalia vipaji vyenu majumbani,tafadhalini tumieni nafasi hii kujitangaza
Kuutangaza utamaduni wa nchi yetu.mfano mnauona kwa wanamuziki wa dansi wanajitangaza.
Wasanii tumieni nafasi ,jitokezeni kwa wingi kuunda kundi.
Umoja ni Nguvu
Mfundo Peter Mfundo
Mwenyekiti(UTU)
email. kamati.utu@gmail.com simu 01734292997
0 maoni:
Post a Comment