Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAREMBO WATAKAOSHIRIKI SHINDANO LA MISS EAST AFRICA 2012 WAKIWA DAR; CHEKI POZI ZA UFUKWENI

Miss East Africa 2012-Eritrea. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

Warembo wa Miss East Africa 2012 wakiwa katika vazi la ufukweni, jijini Dar es salaam.

Shindano hilo litafanyika tarehe 7 ijumaa wiki ijayo, kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam.Yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na kudhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian Airlines, Seascape Hotel, Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na Clouds FM. Picha zote na: HAKI NGOWI.COM

Miss East Africa 2012-Rwanda. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

Miss East Africa 2012-Burundi. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

Miss East Africa 2012-Ethiopia. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

Miss East Africa 2012-Kenya. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

Miss Esat Africa 2012-Somalia. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

Miss East Africa 2012-Uganda. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam.

Miss East Africa 2012-Tanzania. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam

seria signature

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO