Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wataalamu wa Ujenzi wanusurika katika ajali ya gari

ajali6Mkadiriaji majenzi (Quantity Surveyor) aliyejitambulisha  kwa jina la Jackson Nkya akajiribu kutafuta bidhaa zake pamoja na simu kwa mawasiliano ya kupata msaada. Jackson na wenzake walipata ajali hiyo na gari Toyota double cabin hardbody yenye namba za usajili T318 BQV baada ya kupinduka kama inavyoonekana pichani, katika safari za kikazi wakitoka Mwanza kuelekea Bariadi, Shinyanga jana. Kwa mujibu wa maelezo yake anasema katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. Chanzo cha ajli hiyo hakikuweza kufahamika mara moja.

ajali

ajali2Hapa gari ikiinuliwa kwa uokozi zaidi, ingawa watu wote walishatoka ndani

ajali1

ajali3

ajali4

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO