Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

ZANZIBAR NA ERITREA ZATOKA SULUHU

Kiungo wa Zanzibar, Khamis Mcha ‘Vialli’, (kulia) akigombea mpira na beki wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni ya jana. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

Beki wa Zanzibar, Nassor Masoud ‘Chollo’, (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni ya jana. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

Picha zote na BongoStaz Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO