Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Kinana alivyozuru Arusha na kuhutubia Sheikh Amri Abeid Stadium

Kinana akihutubia katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha jana

kinana arusha 1

Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Abdala Kigoda akihutubia na kuahidi kufufuliwa kwa kiwanda cha matairi General Tyre, mwakani 2013

kinana arusha 2Picha mbalimbali zilizopigwa kwa juu kuonesha eno zima la uwanja

Kinana alivyopokelewa USA River

Kinana akisalimiana na Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Ktb wa CCM Arusha, Mary Chatanda

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisalimiana na Lowassa Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto Ktb wa CCM mkoa wa Arusha Mary Chatanda.

Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Usa River kuhutubia mkutano wa hadhara

Wazee wa Kimeru, wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu wa CCM, Kinana katika mkutano uliofanyika Usa River, Arusha. Anayemkabidhi ni Ezrom Sumari

Wazee wa Kimeru wakimvisha Wasira vazi la jadi kuheshimu mapambano yake katika ujenzi wa Chama

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO