Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Walter Chilambo ndiye mshindi wa Epiq Bongo Star Search 2012!

Mshindi wa Epic Bongo Star Search 2012 Waletr Chilambo akikabidhiwa kitita chake cha Sh. Mil.50 hapohapo jukwaani

Mashabiki wakishabikia ushindi wa Walter

Hapa ni wakati wakitangaza matokeo ya mshindi wa BSS 2012.

Salma na Walter wakiwa matumbo joto wakisubili kutajwa mshindi. Picha na MAISHA TIMES BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO