Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WITO WA BLOG HII: WAKAZI WA ARUSHA JIOKEZENI KUTOA MAONI YENU KUPATA KATIBA MPYA, RATIBA HII HAPA

Sasa zamu ya Mkoa wetu imefika kutoa maoni.

Toa sasa na himiza wananchi wenzako wengine nao washiriki kutoa maoni.

Endapo utakosa fursa ya kutoa maoni yako katika mikutano na Tume ya Katiba. Hakikisha unatoa bado maoni yako kwa njia hizi: Facebook hapa: http://www.facebook.com/pages/Tume-ya-Mabadiliko-ya-Katiba-Tanzania/323414977745643?fref=ts  au Ingia hapa ujaze maoni yako: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi au baruapepe: katiba@katiba.go.tz

Pia kwa watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi, huu pia ni wakati wenu wa kutoa maoni kwa kupitia: Facebook hapa: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-nje-ya-nchi au Ingia hapa ujaze maoni yako: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi au baruapepe: katiba@katiba.go.tz

RATIBA KAMILI KWA KILA KATA ZA MKOA WA ARUSHA HII HAPA

NA.

KATA

TAREHE

MAHALI

MUDA WA MKUTANO

 

 

 

1

 

 

 

KARATU DC

19/11/2012

Mbulumbulu

Rhotia

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

20/11/2012

Endaraniek

Endabash

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

21/11/2012

Mang’ola

Baray

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

22/11/2012

Karatu Mjini

Daa

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

 

 

 

 

 

2

 

 

 

 

 

NGORONGORO DC

23/11/2012

Naiyobi

Nanokanoka

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

24/11/2012

Soitsambu

Loliondo

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

25/11/2012

Pinyinya

Arshai

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

26/11/2012

Malambo

Sala

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

27/11/2012

Enduleni

Ngorongoro-Msigio

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

 

 

 

 

3

 

 

 

 

LONGIDO DC

28/11/2012

Katumberie

Longido

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

29/11/2012

Engarenaiboi

Matala

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

01/12/2012

Olmolog

Tingatinga

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

02/12/2012

Namanga

Engikareti

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

 

 

 

4

 

 

 

 

 

MONDULI DC

03/12/2012

Monduli Mjini

Monduli Juu

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

04/12/2012

Engaruka

Sesela

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

05/12/2012

Lolkisale

Moita

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

06/12/2012

Mto wa Mbu

Makuyuni

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

 

 

 

5

 

 

 

ARUSHA MC

07/12/2012

Unga Ltd

Ngarenaro

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

08/12/2012

Kimandolu

Sekei

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

10/12/2012

Terati

Sombetini

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

11/12/2012

Moshono-T/Packers

Njiro Container

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

 

 

 

 

 

 

 

 

6

 

 

 

 

 

 

 

 

ARUSHA DC

12/12/2012

Kisongo

Mwandeti

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

13/12/2012

Oldonyosambu

Bwawani

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

14/12/2012

Oljoro

Moivo

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

15/12/2012

Sokoni II

Olorien

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

16/12/2012

Usa River

Nkoarisambu/Akheri

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

17/12/2012

Mbunguni

Kikwe

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

18/12/2012

Ngarenaro

Legaruki

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

19/12/2012

Nkoaranga

Kikatiti

3:00 – 6:00

8:00 – 11:00

 

 

 

 

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO