Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mvua ilivyokaribia kuharibu ziara ya Kikwete Arusha wiki hii

IMG-20121102-WA0012Mvua iliyoanza kunyesha ghafla siku ya Alhamisi, Novemba 1, 2012 ilikaribia kuharibu shughuli ya Rais Kikwete kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Jijini hapa.
IMG-20121102-WA0009Wanausalama wakizunguka kurudisha wananchi waliokuwa wakiondoka eneo la mzunguko wa Azimio la Arusha mara baada ya mvua kuanza kunyesha
IMG-20121102-WA0016
IMG-20121102-WA0011
2012-11-01 10.28.06Maaandalizi kabla ya kuanza kwa shughuli rasmi uwanja wa Sheikh Amri Abeid
IMG-20121102-WA0008Wananchi wakikimbia mvua
IMG-20121102-WA0010Baadhi ya magari yaliyokuwa yakisombea watu uwanjani
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO