Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DR. SLAA KUHOJIWA NA WPFW 89.3 FM RADIO YA D.C WASHINGTON LEO JUMATANO JIONI, FUATA LINK KUSIKILIZA

Dr. Wilbroad Slaa, amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio  ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya jumatano tarehe 13 Machi, 2013. Saa saba mchana, saa za Amerika ya mashariki ( 1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time). Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika.

Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.

Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO