Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE, KINANA WAMJULIA HALI ABSALOM KIBANDA, AFRIKA KUSINI

Rais Jakaya kikswete akimjulia hali Mswenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation Ltd, Absalom Kibanda, katika hospitali ya Mill Park iliyopo, jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, ambako amelazwa baada ya kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Machi 4, 2013, nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete yupo  nchini Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa vyama vilivyo mstari wa mbele katika Harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye pia anashiriki mkutano huo. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO