Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PICHA: AJALI YA KILIMANJARO EXPRESS MOMBO JANA

.

.

Pichani ni baadhi ya abiria walionusurika katika ajali ya basi la kampuni ya Kilimanjaro Express wakitokea Dar es Salaama Kwenda Arusha jana. Ajali hiyo ilitokea eneo la Mombo na inaelezwa chanzo cha ajali ni kitendo cha dereva wa basi hilo kujaribu kumkwepa mwendesha baiskeli. Taarifa kutoka eneo la ajali zinaeleza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

Picha na mitandao.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO