Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Jionee Matumizi Mbadala ya Gari za Jeshi la Polisi

Kamera yetu ilifanikiwa kunasa tukio hili katika mitaa ya Arusha ambapo katika hali isiyo ya kawaida gari hili la Jeshi la Polisi lilinaswa likiwa limesheheni mifugo aina ya Mbuzi. Gari hizi mara nyingi hutumika kwa doria za kipolisi na kubebea watuhumiwa wa makosa mbalimbali pindi wanapokamatwa. Haijaweza kufahamika sababu hasa ya kubebea mifugo hiyo kwenye gari hizi. Namba za gari na mahali mifugo hiyo ilipokuwa inapelekwa vimehifadhiwa.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO