Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MATUKIO MBALIMBALI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI JIJINI ARUSHA

DSCF8105

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya wanawake dunia Mkoani Arusha akiwa na viongozi wengine ambapo alisema kuwa ongezeko la wanawake katika uongozi serikalini umeongezeka kwa asilimia kubwa huku akiwataka wanawake kujiamini katika masuala mbalimbali

DSCF8082

Hapa akiwa anaangalia kazi za wanawake(ujasiriamali) katika moja ya banda alilotembelea kushoto ni  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye ambaye pia Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi

DSCF8084

Mwanamama akiwa anatoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh. Ummy Mwalimu

DSCF8085

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyerembe Munasa akiwa anaangalia bidhaa katika mabanda hapa akawa anasifia Asali inayotengenezwa na TAWIRI

DSCF8086

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi akifurahia vyakula mbalimbali vya asili vya kabila la kimaasai

DSCF8089

Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha DC Bi.Anna Msuya akiwa anasifia chakula cha kienyeji(ngararumu) cha kabila la kimaasai

DSCF8091

Mwanamama akiwa anakunywa loshoro

DSCF8096

Mmiliki wa jamiiblog  Pamela Mollel naye akaamua kukumbukia nyumbani kwa kula ngararumu……ilikuwa tamu sana ila bahati mbaya loshoro ilikuwa imekwisha,,,ahah

DSCF8097

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyerembe Munasa akiwa anaongea katika maadhimisho hayo ambapo aliwasisitizia wanawake kuhakikisha Amani inakuwepo hapa nchini

DSCF8093

Kulia ni Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha DC Bi.Anna Msuya akiwa anakula chakula cha kienyeji kushoto ni Diwani wa kata ya Ilkiding’a Samweli ole Ngarabali akiwa anakula ngararumu

DSCF8099

Kikundi cha ngoma kikiwa kinatowa burudani

DSCF8102

Mwenye kitenge kiunoni ni Mkurugenzi wa shirika la  Datasky Systems Bi.Victoria Riwa katika maadhimisho hayo

DSCF8103

DSCF8106

Mkurugenzi wa shirika la  Datasky Systems Bi.Victoria Riwa akiwa anapokea cheti meza kuu

DSCF8109

DSCF8106

DSCF8110

Mkurugenzi wa shirika la  Datasky Systems Bi.Victoria Riwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wake katika banda lao mara baada ya Naibu waziri kutembelea

DSCF8080

Kikundi cha kinamama cha kabila la kimaasai kikiwa kinatoa burudani

DSCF8079

DSCF8074

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh. Ummy Mwalimu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi wakiwa wanapanda mti katika viwanja vya halmashauri ya Arusha DC

DSCF8075

JAMII BLOG FOOTER

PICHA ZOTE NA PAMELA MOLLEL

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO