Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Arusha na kero ya foleni za magari barabarani

DSCN8064

katika kipindi cha takribani wiki tatu sasa Jiji la Arusha limetokea kuwa na kero kubwa kwa watumiaji wa barabara tofauti na hapo awali. Foleni kubwa za magari barabarani zimeonekana kuwa kero kubwa kwa watumiaji wengi wa barabara hasa nyakati za asubuhi na jioni.

Pamoja na uboreshaji wa miundombinu ya Jiji ikiwa ni pamoja na kuweka taa za kuongozea magari sehemu tofauti zenye makutano, bado misururu ya magari imeonekana kuwa kero kwa wasafiri hasa kwa waakazi wa maeneo ya Njiro na Kijengo pindi wanapotaka kuingia mjini.

Picha hii ni ya asubuhi ya leo eneo la mzunguko wa Kijenge

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO